tag:blogger.com,1999:blog-3999376688715593495.post5516781426766306999..comments2024-03-10T12:38:39.352+00:00Comments on MATUKIO UK: MATUKIOUK INAWATAKIA KRISMASI NJEMA WADAU WAKE WOTE DUNIANIBGEORGEhttp://www.blogger.com/profile/10580435953153547236noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-3999376688715593495.post-87879471293722530462010-12-26T03:50:35.943+00:002010-12-26T03:50:35.943+00:00Mimi naitwa Ebou Shatry Kutoka Washington DC
Asant...Mimi naitwa Ebou Shatry Kutoka Washington DC
Asante sana kamanda mungu akubariki kwa pongezi zako na kurasa nzima ya kupongeza merry x-mas kwa wote kila la kheri.
Ila naomba na mimi Uniwekee Blog yangu kwako na kuizindua Rasmii hapo Uk kesho kama itawezikani. jina la blog ni http://swahilivilla.blogspot.com/

imeanzishwa mjini Washington Dc na inaendeleza kazi zake katika mji wa Maryland. Inatumia lugha ya kiswahili na kingereza ili kuhabarisha kuhusu maswala mbalimbali ya kijamii hasa katika ukanda wa Marekani mashariki na Afrika mashariki. Itakuwa inakuletea habari mbalimbali za kijamii, siasa, burudani,michezo nk. Nakaribisha maoni yenu. Wasiliana nasi kwa. Email:kijiko12@hotmail.com

Natashukuru ukifanya hivyo tuta saidiana katika kupandisha mlingoti wa habari zaidi. Na unisomapo usisite kuweka neno kwani ni chanzo chakuelewa hali halisi inayokubalika katika jamii yetu kwa jumla. shkran mzee wa uk.Ebou'shttps://www.blogger.com/profile/15890967105919045434noreply@blogger.com