tag:blogger.com,1999:blog-3999376688715593495.post6348741066305026110..comments2024-03-10T12:38:39.352+00:00Comments on MATUKIO UK: MASHETANI WA DUNIA HIIBGEORGEhttp://www.blogger.com/profile/10580435953153547236noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-3999376688715593495.post-91106263580559979372011-02-28T06:25:59.100+00:002011-02-28T06:25:59.100+00:00Yaani nimesoma sentensi ya kwanza tu nimeshindwa k...Yaani nimesoma sentensi ya kwanza tu nimeshindwa kumalizia habari yote maana moyo wangu unaniuma kama mtoto wangu na machozi yananilenga hii si adhabu ni uuaji.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3999376688715593495.post-18392089417215574012011-02-28T06:20:13.858+00:002011-02-28T06:20:13.858+00:00Jamani hivi wanawake wengine hawatakiwi kuwa na wa...Jamani hivi wanawake wengine hawatakiwi kuwa na watoto maana hiyo sio adhabu ya kumpa mtoto kuna aina nyingi ya kuadhibu watoto,huyo mwanamke anatakiwa kwenda jela na kunyanganywa mtoto huyo.Anaelewa kweli kuna wanawake hawaishi kwa amani kwa sababu ya kukosa mtoto,ndoa zao zavunjika na maisha yao ni tabu kwa kukosa mtoto.Kweli aadhibiwe anyanganywe mtoto naaende jela maana ni muuaji.Anonymousnoreply@blogger.com