tag:blogger.com,1999:blog-3999376688715593495.post7417764291644014310..comments2024-03-10T12:38:39.352+00:00Comments on MATUKIO UK: BABU SAMBEKE AFARIKI KATIKA AJALI YA NDEGEBGEORGEhttp://www.blogger.com/profile/10580435953153547236noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-3999376688715593495.post-49528609810442056952013-04-16T07:23:36.863+01:002013-04-16T07:23:36.863+01:00NDUGU ZNGU WATANZANIA NA WAPENDA AMANI NAOMBA NIMS...NDUGU ZNGU WATANZANIA NA WAPENDA AMANI NAOMBA NIMSAHIHISHE MWANDISHI WA HABARI HII YA MSIBA WA BABU SAMBEKE. SIO KWELI KAMA ALIVYORIPOTI SENTESI YA MWANZO KWA KUTAJA JINA LA RUBANI PEKEE JAMAL. JAMAL SB (NI RUBANI AFISA WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA MTOTO WA MIAKA 24 AMBAYE NI CAPTENI KWA CHEO CHA KIJESHI)NI MTOTO PEKEE WA BABU SAMBEKE AMBAYE NI RUBANI KATI YA WATOTO WA BABU SAMBEKE. ALIEFARIKI KATIKA AJALI YANDEGE HIYO NDOGO NI MWENYEWE BABU SAMBEKE ALIEKUWA PIA RUBANI ANAENDESHA NDEGE ZAKE KAMA TAJIRI ALIEAMUA KUTOTUMIA VOGUE N.K AKAWA USAFIRI WAKE NI NDEGE NDOGO KWA SAFARI ZAKE ZOTE FUPI NA NDEFU ALITUMIA GARI PALE TU ANAPOKWENDA KIWANJANI, NDEGE HIZO ANAZOMILIKI NI NDEGE NDOGO AMBAZO HUTUA KATIKA VIWANJA VIDOGODOGO KAMA CHA MOSHI MJINI.
HIVYO ALIEFARIKI NI BABU SAMBEKE MWENYEWE TAJIR WA DUNIANI NA MWANAE JAMAL SB YUPO NA ANAENDELEA KULITUMIKIA TAIFA LA TANZNIA.
HAMIS BORAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3999376688715593495.post-42709588105826853542013-04-14T18:36:03.454+01:002013-04-14T18:36:03.454+01:00Watanzania hata muende ulaya ni waongo na wazushi....Watanzania hata muende ulaya ni waongo na wazushi.

1. Babu Sambeke au Ernest Mallya ni rubani yeye mwenyewe na anamiliki ndege zake.

2. Jamal Babu Sambeke ni mtoto wake ambaye ni Rubani mwanafunzi na mwajiriwa wa JWTZ.

3. Wakati wa ajali hakuwa na mwanae.

Muwe makini sana mnapoandika habari ambazo hamjafanyia uchunguzi kwani uongo wenu unaumiza sana wafiwaAnonymousnoreply@blogger.com