.

.

.

.

Monday, October 27, 2008

BALOZI AMALIZA MUDA WAKE SWEDEN

Mh.Balozi Ben Moses akiwa na mdau namba moja wa blogu hii malumbo jr. (kulia)pamoja na Baby
Balozi na mkewe wakiwa na wageni waalikwa
Balozi wa Tanzania Nchini Sweden Hon.Dr Benn Moses amemaliza muda wake kuiwakilisha nchi yetu ,jana jioni kulikuwa na sherehe ndogo ya kumuaga iliyoandaliwa na watanzania waishio mji wa Stockholm na vitongoji(Kilimanjaro Club) ambayo ilifanyika nyumbani kwa balozi,

1 comment:

  1. Rosebaby na Malumbo wanapendeza sana penzi lao la muda mrefu tangu walipokuwa Bongo mwaka 93

    ReplyDelete