.

.

.

.

Wednesday, October 15, 2008

KARIBU SOUTHAMPTON


Watanzania waishio Southampton wanapenda kuwakaribisha watanzania wote kutoka miji mbalimbali kwenye sherehe ya kujumuika pamoja.Ndugu watanzania kufika kwenu katika sherehe hii ndio ufanikishaji wetu.Sherehe itafanyika tarehe 8/11/2008 kuanzia saa 12 jioni hadi saa 9 usiku, katika ukumbi wa African-Caribbean Centre, St Mary’s Area, Trity Road, Southampton, SO14 0BE.Kutakuwa na chakula na vinyaji vya kumwaga vyote toka Tanzania na kumbuka kiingilio ni bure!!!!!Usingoje kusimuliwa fika ujionee mwenyewe mambo mbalimbali tuliyoandaa kwa ajili ya siku hiyo pia wageni kutoka miji mbalimbali hapa Uingereza.Mgeni rasmi pia atakuwepo kuzuzungumza na watanzania watakao fika siku hiyo.WOTE MNAKARIBISHWA.Kwa maelezo zaidi usisite kuwasiliana na wahusika wafuatao:Kangoma Kapinga 07961094455,Sekela Komba 07717435287,Vicky Kamata 07796428625.

No comments:

Post a Comment