
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo
Luteni Col. Mrenge katikati akimpa pole mkurugenzi wa Paradise Resort
Mahdi Guled mara baada ya kuwasili katika eneo la tukio ambapo Hoteli kubwa ya kitalii ya Paradise Resort iliteketea kwa moto.
aliyekaa chini ni mwenyekiti wa Paradise
Bw. Guled Abdallah
No comments:
Post a Comment