.

.

.

.

Wednesday, October 14, 2009

PASCHAL CASSIAN MSHINDI BSS


SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI KWA WASANII WACHANGA HAPA BONGO LINAOFAHAMIKA KAMA BONGO STAR SEARCH,AMBALO LIKO CHINI YA KAMPUNI YA BENCH MARK PRODUCTIONS
LIMEMALIZIKAHIVI PUNDE KATIKA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE,AMBAPO MSHIRIKI TOKA JIJI LA MWANZA ANAEFAHAMIKA KWA JINA PASCHAL CASSIAN NDIE ALIEIBUKA KIDEDEA KATIKA SHINDANO HILO AMBAPO AMEJINYAJULIA KITITACHA SHILINGI 25 MILION,PACHAL CASSIAN AMEIBUKA KIDEDEA BAADA YA KUWABWAGA WASHIRIKI WENGINEWANNE AMBAO NI PETER MSECHU(TOKA KIGOMA)ALIECHUKUA NAFASI YA PILI,KELVIN MBATI(TOKA DAR)ALIECHUKUA NAFASI YA TATU,JACKSON GEORGE(TANGA)ALIESHIKA NAFASI YA NNE,BEATRICE WILLIAM(TOKA MWANZA)AMBAYE AMESHIKA NAFASI YA TANO.SHINDALO HILO LILIKUWA CHINIYA MAJAJI JOHN KITIME,JOACHIM KIMARIO(MASTAR J) PAMOJA NA JAJI MKUU MADAME RITHA PAULSEN.PICHA ZITAWAJIA BAADAE KIDOGO,HIVYO TUVUTE SUBIRA KIDOGO WADAU.

No comments:

Post a Comment