.

.

.

.

Sunday, October 18, 2009

TAARABU ...

Waimbaji wa kundi la Taarab la Five Star Molden Taarab wakiimba wakati wa onyesho lao lililofanyika jana kwenye ukumbi wa Equator Grill Mtoni kwa Azizi Ally, kundi hilo limeanzishwa hivi karibuni lakini linaleta upinzani mkubwa kwa makundi mengine ya taarab kutokana na umahiri wa waimbaji wake ambao wengi wao wanatoka katika makundi mbalimbali ya taarab jijini Dar na Zanzibar.

No comments:

Post a Comment