.

.

.

.

Thursday, October 29, 2009

WANAWAKE WA TANZANIA KATIKA GOLF

Wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya mchezo wa Golf, wakiwa wameshikilia makombe na ngao walizofanikiwa kuzibeba baada ya timu hiyo kuibuka mabingwa wa mashindano ya Afrika mashariki na Kati yaliofanyika Kampala , Uganda . Jumla ya nchi tano zilizoshiliki katika mashindano hayo ambazo ni Tanzania , Kenya , Zambia , Rwanda na wenyeji Uganda .

No comments:

Post a Comment