.

.

.

.

Wednesday, September 28, 2011

AIRTEL YATOA STIKA ZA USALAMA BARABARANI

Mkuu waKitengo cha Mawasiliano cha Kampuni ya simu za Mkononi ya Airtel Tanzania, Beatrice Singano Mallya (kulia) akizungumza jambo wakati wa kukabidhi stika maalum za usalama barabarani pamoja na T shirt 2200. Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Mafuta ya Engen, Shaban Kayungilo na katikati ni Kamanda wa Kikosi cha Polisi Usalama Barabarani, Kamishana Mohamed Mpinga. Wiki ya Taifa ya Usalama Barabarani inataraji kufanyika kitaifa Bukoba Oktoba 3,2011.

No comments:

Post a Comment