.

.

.

.

Thursday, September 29, 2011

TAMASHA LA TUSKER ALL STARS 2011

Mkurugenzi wa kampuni ya Prime Time Promotions/Clouds Media Group,Joseph Kusaga (katikati tshet blue),ambao ndiyo Waratibu wa tamasha la Tusker All Stars 2011,akiwa na wanamuziki watakaotumbuiza kwenye tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika Oktoba 1,kwenye viwanja vya Carnivo.Kutoka kulia ni Alpha (Rwanda),Davis (Uganda),Peter Msechu (Tanzania),Shaggy (Marekani) pamoja na Cabo Snoop kutoka nchini Angola wakiwa katika picha pamoja mara baada ya kupanda miti kwenye msitu wa hifadhi ya miti wa Karura Forest

No comments:

Post a Comment