.

.

.

.

Sunday, July 08, 2012

TANGA YAPATA MISS REDDS 2012


Redd's Miss Tanga 2012,Theresia Kimaro (katikati) akiwa katika picha ya Pamoja na mshindi wa pili,Beatroce Joseph na wa tatu Johari Harom muda mfupi baada ya kumalizika kwa shindano lao liliilofanyika usiku huu kwenye Uwanja wa Mkwakwani,Jijini Tanga jana.
Washiriki walioingia tano Bora.
Washiriki wote stejini.
Shoo ya warembo walioshiriki Miss Tanga 2012.

No comments:

Post a Comment