.

.

.

.

Saturday, October 18, 2008

JUA CALI KUTUMBUIZA LEICESTER JUMAMOSI IJAYO

Msanii toka kenya JUA CALI atatumbuiza wiki ijayo jijini LEICESTER ndani ya ukumbi nadhifu wa CLUB JJ kuanzia saa 4 usiku .
Kiingilio ni £10 tu
Anuani ni 17 HAYMARKET
LEICESTER
LE1 3GD

No comments:

Post a Comment