.

.

.

.

Wednesday, November 05, 2008

TSVANGARAI AKUTANA NA KIKWETE


Raisi JK pamoja na mgeni wake waziri mkuu wa Zimbabwe Morgan Tsvangarai wakitoka Ikulu mchana hii leo baada ya mazungumzo yanayohusiana na masuala ya ndani ya Zimbabwe.

No comments:

Post a Comment