.

.

.

.

Monday, January 26, 2009

LADY IN RED YANUKIA


Maandalizi ya onesho la mavazi la Lady in Red yanazidi kupamba moto siku hadi siku.pichani ni Mwanama mkongwe wa mambo ya ubunifu wa mavazi hapa bongo Asia Idarous wa FABAK FASHIONS akiwa na baadhi washiriki wa onesho maalumu la urembo wa nywele katika mitindo/dizaini mbalimbali, baadhi yao pichani wakiwa wamepozi mara baada ya kula riheso la muda mfupi kuhusiana na shindano hilo la nywele jana jioni pale hotel ya Regency,Mikocheni jijini Dar.
Onesho hilo la Lady in Red ambalo litashirikisha wabunifu mahiri kumi linatarajiwa kufanyika februari 6 ndani ya hoteli ya Kempisk zamani kilimanjaro hotel

No comments:

Post a Comment