.

.

.

.

Monday, December 07, 2009

MISS EAST AFRICA 2009

Warembo Victoria Martine na Juliet ndio watakaoiwakilisha Tanzania katika mashindano ya kimataifa ya urembo ya Miss East Africa 2009 yatakayofanyika siku ya ijumaa wiki ijayo jijini Dar es salaam, Tanzania.Victoria Martine (20) na Juliet William (19) walichaguliwa kufuatia mchakato uliochukua takribani miezi mitatu huku ukiendeshwa na kamati maalum iliyochaguliwa na waandaaji wa Miss East Africa ambapo kamati hiyo ilikutana na warembo zaidi ya 150 kutoka sehemu mbalimbali Nchini ili kupata wawakilishi wawili wanaofaa kuiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo ya urembo.

No comments:

Post a Comment