.

.

.

.

Thursday, June 25, 2009

DJ FETTY WA CLOUDSFM 88.4

DJ mahiri wa stesheni ya watu CLOUDSFM 88.4 dj Fetty( Shoto) katika pozi hivi karibuni. kwa habari zake zaidi mtembelee www.djfetty.blogspot.com

28 comments:

  1. niaje Fetty?Hope uko mzuka mama,mie langu jina naitwa Emmanuel ukipenda waweza niita SURAMBAYA BEIBY niko pande za sumbawaga just kukup hi tu.Na pia songesha gurudumu la BONGO FLEVA.Tchaoooooooooo

    ReplyDelete
  2. Tupa kule wote ni hovyo kwa sana tu....

    ReplyDelete
  3. Hi Fetty just out of curiousity, i heard last week you talking about Jay Z's court issue, the big Q is, has Jay Z Patent his trading name?, i mean does he have exclusive rights over the name? Does the name have a registered mark? if not, hana kesi yule considering Nominican Republic has its own Jurisdiction! Anyway, i wish the other chap all the best coz he really needs it!

    Your biggest fan Always.....
    Naima

    ReplyDelete
  4. Mambo vp dj kwefe'eh, issue ni gani pande hizo? ebwana mi niko mzuka ile laaana mzeiya nawakilisha EAST UDOM STATE toka pande za university of dodoma ebana ni full ile mbaya mzeiya. 2nakuja na harakati za kufa m2 mzeiya na pini za hatari sana tukiitambulisha EAST UDOM STATE toka udom mpaka clouds fm de p'poz station. kuna pini kama, WE GOT SKILLS, 2NAFANYA HIP HOP, KIBANDA CHA MGANGA, IM A CRANK KING,FREESTYLE MASTER, na mengine mengi ya hatari. 2po ki revolution zaidi arif chini ya uprising producer known as WIGAN kwenye mabano(producer pono)wa EAST UDOM STATE toka ANOTHER GHETTO ENTERTAINMENT.
    EAST UDOM STATE ni kundi la ma intelectual persuing degree program at UDOM. Hope 2po pamoja fetty na i wish one day kazi zetu zitagongwa pande za clouds fm. 2nawategemea nyie katika harakati ze2 za mapinduzi ili 2weze kulifikisha gurudumu la hiphop panapostahili. keep it tyt ma hood.
    NB: IF YOU NEED MORE CANTACT WITH THE PRODUCER, REFER 2 THE HOTLINE BELOW
    0762273518. His available @UDOM.
    THANKS FOR YOUR COOPERATION DJ FETTY.
    its me the revolutionist, WIGAN.(Producer Pono. Big up 2 LAMAR & MAKOCHALI. Heavy weight producers in Tz.
    Da mwnanangu fetty nilisahau kukwambia kuhusu jina(producer pono), Pono ya hapo inamaanisha pono mnyama anae lala kupita kawaida, sio pono ya mambo ya2 yale utandawazi NO, BIG NO.

    ReplyDelete
  5. Mambo vp Fetty? its WIGAN(producer pono) in de air baiby, vp wikend mwana? hw z ma man Adam n B-twangala/ Ebwana saluti sana pande hizo mzeiya. Lini utakuja kuwakilisha pande za UDOM mwana? c unajua huku ndo hiphop imelala. 2nakuwait kwa mizuka ya laana mwana we2, Aminia. niko room now nacheza na kick na snares, muda c mrefu ntatoa beat moja nyuki mbaya. Vp do u wish 2 have ma sample beats usome uwezo/ usikonde anyday ukiwa fresh we nipe ramani nikutumie madini au co mzazi. Pamoja.
    its de man WIGAN toka EAST UDOM STATE.
    (another level)

    ReplyDelete
  6. dj fetty big up for what you are doing inside clouds FM,siyo siri nakufili sana big up.
    naitwa renatus joseph,
    wa bunda TTC.

    ReplyDelete
  7. mambo niaje Feh? je kuna utata? kama hakuna basi mbaratata.naitwa mashaka kishaka toka Tanga.

    ReplyDelete
  8. cys fetty uko up level by ma side nakupa zote 100,the way una host vpindi vyako yan unani touch kichizz,keep it up mdada,its u`r boy yonaizer.

    ReplyDelete
  9. HEY Fetty its ur fellow tanzanian ALMACHUSI B.LONGINUSI frm kinondoni.Fetty its real i love u coz ur mult talented,beautful,confident and so on.But kwa nini dressing code yako all the tym ur looking like a gangstar.Juzi kati nilikuona bills na pamba za kiduu yaani ulionekana poa mpaka nika freeze.Fetty pamba za kike zinakutoa zaidi staki ubishe,haya just do it.Hav nyc job and god bles u.Huuuraaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  10. Hey mdada dj fetty,nakubali kaz yako inatambulika in short upo higher,na nimependa ile ngoma uliyopewa kolabo ambayo ipo hot nowdays.Upepo upo(pumz) maana ilikuwa si kitoto kukimbizana na bit dizain ile. keep it lucky and stay blessed.

    ReplyDelete
  11. What's up Fetty i rill appreciat your work on This blog.Keep it up

    ReplyDelete
  12. uko juu magoti ya nyoka moro

    ReplyDelete
  13. niaje mwanadada kwefee jpangusee

    ReplyDelete
  14. fetty we mkal ur the best mama,yan upo level nyingine dizain kama nick minaj vile wa USA,KAZA BUTI MAMA WA2 2NAKUBALI KAZI ZAKO yan utangazaji mpaka uzuri wa face,oyi its me IBRA FROM UDOM

    ReplyDelete
  15. niaje mwanadashori??????aisee nakukubali ile mbaya yani.......!kip it up babe...!unaweza

    ReplyDelete
  16. wee mkali mwanadafetty cauz mambo yako ni juu ile mbaya.... u deserve kuishi mambele huko.... u can do it very.

    ReplyDelete
  17. kila kitu mzuka maisha na kazi njema bidii juhudi ndiö zinakuweka high much respect dada jitambue daima INSHAALLAH

    ReplyDelete
  18. habari yako mamaa;we ni zaid ya wakali;kama vp kisanue.

    ReplyDelete
  19. mambo dada fetty nina ka blog changu bado kachanga naomba unisaidie kukaweka kwenye bloglist yako i appreciate so much mchango wako katika bongo flaver WWW.PANDEHIZI.BLOGSPOT.COM YOURS MUDHIHIR

    ReplyDelete
  20. mamabo mama hop yo are gud pull it up BIG UP ZAKUTOSHA

    ReplyDelete
  21. AAAH A MST APRECIAT GODS creatn first u luk more dan hot sec u make 2dream 2b apresentr lyk ya a real admire u n yo wrk kip t up bby.braaaaaa.tz ruth frm mbez yo higher mzaz

    ReplyDelete
  22. hatunaga tatizo na mtu baaaaaas.......bongo flovour milele kama....9t 9t

    ReplyDelete
  23. ninampenda sana fetty big up

    ReplyDelete
  24. unaweza kweliii ccter bgp hapo cloud kwa buludani kiukweli unaweza enderea hivhiv hata ckendo hauna za umalaya kama wa bon go movie

    ReplyDelete