.

.

.

.

Monday, August 24, 2009

WATANGAZAJI MACHACHARI BONGO

Watangazaji mahiri hapa nchini Kulia ni Maimartha wa Jesse kutoka East Africa Television (EATV Channel 5) na shoto Saida Mwilima wa Star TV wakiwa na Khadija Mnoga (kati) wakati wa onyesho la utambulisho wa bendi ya Extra Bongo jana katika ukumbi wa msasani Club.
Picha kwa hisani ya Pwani raha.com

4 comments:

 1. khaaa!kama mazimwi vile bona wanatisha,sasa nanai ka paste kwa mwenzie jamani,mnaniboa!hata vamvutii,xzxzxzzxzx,shine!

  ReplyDelete
 2. kha ndonini hiki,sasa nani ka paste kwa mwenzake,mnaniboa! ka mazimwi vile,kologeni na miguu kama wajanja,xzxzxzxz!shine!

  ReplyDelete
 3. Hawana umaarufu wowote....kama huyo maimatha umaarufu wake dental formula yake imepitiliza anamemno 60 :) badala ya 32...anakinywa kikubwa sana huwa anashindwa hata kufunga mdomo, na huyo Sauda mwilima mchafuuu mimi kananikera sana ..hata kuvaa hakajui...

  ReplyDelete
 4. wewe unawaonea donge wenzio kuandika kwenyewe ujui unachapia chapia tu hapa, acha wivu si wao.

  ReplyDelete