.

.

.

.

Saturday, March 31, 2012

DIAMOND AKATAA KUTUNZWA NA WEMA NA KUMFANYA MREMBO HUYO KUTOKWA NA MACHOZI


Wema Sepetu akiwa na tabasamu akijaribu kumtunza wa KUMOYO wake wa zamani bila mafanikio katika shoo ya Nasseb Diamond iliofanyika jana usiku Mlimani City
Jamaa bado kala Kobisi
Basi isiwe tabu ...... wema akiondoka macho chini baada ya sakata hilo
Wema akilia huku Mashosti zake wakijaribu kumtuliza

10 comments:

 1. kunguru daima atabakia kunguru katu hawi njiwa

  ReplyDelete
 2. Dah! Imeniuma sana yani. Nawe Wema kwa nn hutulii lakini?
  Kitu gani kilichokupeleka hapo?
  Msichana mrembo lakini unajipeleka kama kuku kwa nn?

  ReplyDelete
 3. umeona eee! Kijana bado mshamba sana na game za mziki.. Huwezi fanya vituko kama hivyo mbele za watu na haswa ukizingatia kuna watu wa heshima wamethamini mafanikio yako na kuja kwny shoo yako,,,,

  ReplyDelete
 4. na hafugiki ng'ooooooooo!!!!!

  ReplyDelete
 5. diamond utoto unamsumbua, kwani wao ni wa kwanza kuachana mpaka amdhalilishe mwenzie kiasi kile?????

  ReplyDelete
 6. VERY SORRY BEAUTY...............DIAMOND ACHA KUWA KA MZEE

  ReplyDelete
 7. Diamond asingemdharirisha mwenzake ukizingati yeye alitoa kwa upendo na hiyo hela ilikuwa ni faida yake kidogo kidogo ujaza kikapu "POLE WEMA USIJARI"

  ReplyDelete
 8. POKE MWANAUME WE HII NI ZAWADI KWA VIPI "USIJARI MREMBO WEMA"

  ReplyDelete