Washiriki wa Bigbrother kutoka kushoto Afrika Kusini na Malawi wakiwa na wenyeji wao kutoka kushoto ni Thami, Grace Ruhinda Mhariri mkuu wa Jarida la Bang, Dada Bupe (ambaye ndiye anayeratibu ziara yao )Hazel kutoka Malawi na mwisho ni mshiriki mwenzao wa Bigbrother mtanzania Latoya
Thami na Hazel wako nchini kwa ziara binafsi na watatembelea Bagamoyo na Zanzibar na kukutana na mashabiki wao kwa ajili ya kubadilishana mawazo na kupiga picha.
No comments:
Post a Comment