Fatma Amour mwenye nguo nyeusi akiwa pamoja na wanamitindo walioonyesha nguo zake mara baada ya onyesho lake lililojulikana kama Kakakuona Unavyovaa Ndivyo ulivyo ambalo limefanyka usiku wa kuamkia leo kwenye ufukwe Dar Alive karibu kabisa na Cine ClubKwa hisani na Picha zaidi www.fullshangwe.blogspot.com
No comments:
Post a Comment