.

.

.

.

Saturday, May 30, 2009

AJALI YA MELI ZANZIBAR

Kuna Meli imezama Zanzibar na watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha yao. Meli hiyo ilikuwa inatokea Dar es salaam kuelekea Zanzibar na ilikuwa imebeba shehena la mizigo. Shuhuda wetu mmoja anasema kuwa kiasi cha kikubwa cha mali kimepotea ikiwemo simu za Zantel ambazo zilikuwa zinasafirishwa kwenda Zanzibar. Meli hiyo inaitwa MV Fatihi mali ya Bw Saidi Mbuzi ambaye pia anamiliki Kampuni ya Seagul.

No comments:

Post a Comment