.

.

.

.

Friday, May 29, 2009

MISS UNIVERSE 2009

Baadhi ya warembo watakaoshiriki shindano la Miss Universe 2009 wakipozi kwa picha walipotembelea Kijiji cha makumbusho, Dar esSalaam jana. Shindano hilo linatarajiwa kufanyika Mei 30,2009 katika Ukumbi waMlimani City Conference Jijiji Dar es Salaam.

1 comment:

  1. Visit my site: http://www.concourseurovision.webs.com

    ReplyDelete