.

.

.

.

Tuesday, November 20, 2012

GEOR DAVIE - NABII WA NGURUMO YA UPAKO


Nabii wa Ngurumo ya Upako,Geor Davie  
Nabi Geor Davie ana msafara mrefu kwenye ziara zake anazokwenda kutoa huduma.Msafara wa magari anayo kuwa nayo inasemekana yana thamani ya shilingi milioni 200 za Tanzania. 
Kila sehemu ambayo Nabii Davie uwaombea watu uzungukwa na walinzi 8 au 10 ambao uvalia mavazi ya suti nyeusi na miwani nyeusi,humzunguka Nabii na kufanya anapotembea asikaribiwe na watu kwa urahisi 
Gari la Nabii Geor Davie huwa na bendera kama magari ya viongozi wa Nchi yetu.Bendera hiyo uwakilisha alama ya huduma ya kanisa lake. 
Mtumishi wa Mungu Geor Davie mara nyingi anapo tembea kuombea watu utandikiwa zulia jekundu 'red carpet' huku akizungukwa na walinzi wake. 
Ukiingia kwenye website yake ya www.geordavie.org kauli yake ni 'keeping up with God's Kingdom Government standard 

4 comments: