.

.

.

.

Sunday, October 31, 2010

NYOMI LA CCM VIWANJA VYA JANGWANI JANA


Dk. Bilal, akihutubia katika mkutano wa mmwisho wa kampeni jukwaani wakati wa kufunga mikutano ya kampeni ya CCM, iliyofanyika kwenye Uwanja wa Jangwani leo okt 30. Uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani unafanyika kesho nchini kote.
Mgombea mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais Mstaaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, wakati alipomaliza kutoa salamu zake kwenye hafla ya kufunga mikutano ya kampeni iliyofanyika kwenye uwanja wa Jangwani leo Okt 30. Picha na Muhidin Sufiani
Mgombea urais wa CCM, Dk. Jakaya Kikwete, akisalimiana na mgombea mwenza wake Dk. Mohamed Gharib Bilal, wakati akishuka jukwaani baada ya kumaliza kutoa salamu kwenye hafla ya kufunga mikutano ya kampeni wa CCM, iliyofanyika kwenye Uwanja wa Jangwani leo Okt 30.
Mgombea urais wa CCM Dk Jakaya Kikwete, akisalimiana na wananchi wakati alipowasili kwenye viwanja vya Jangwani leo Okt 30 kwa ajili ya kufunga mikutano ya kampeni ya CCM. Picha na Muhidin Sufiani
Mgombea Urais wa CCM, Dk. Jakaya Kikwete, akisalimiana na Mjumbe wa Halmashauri kuu kupitia Mkoa wa Dar es Salaam, Asha Baraka, wakati akiingia kwenye viwanja vya Jangwani leo okt 30 kwa ajili ya kufunga mikutano ya kampeni.
Wananchi wakishangilia katikam mkutano huo
Umati wa wananchi waliohudhuria katika mkutano wa jawangwani wakati CCM ilipohitimisha kampeni zake jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment