.

.

.

.

Monday, November 21, 2011

BRIDAL SHOWER YA JACKLINE PATRICKJack (katikati) akiwa na wapambe alipokuwa akiingia ukumbini.


MWANAMITINDO mahiri nchini, Jacqueline Patrick ‘Jack’ aliserebuka vilivyo kwenye ‘Bridal Shower’ yake iliyofanyika katika ukumbi wa Happy Dragon uliopo Kawe jijini Dar es Salaam.
Katika sherehe hiyo Jack aliwaalika mastaa mbalimbali wa hapa nchini ambapo wote kwa pamoja walicheza, kula na kunywa mpaka majogoo.


Mambo ya Bubbles.


Jokate Mwegelo na Christina John ‘Sinta’.

Aunt Ezekiel akiwa na rafiki yake.

Mwanamitindo Warda Wahid akiwa na Diva.

Nargis Mohamed .

Jack akikata keki yake.

Akipeana shavu

Kamati iliyofanya maandalizi.

Bi harusi mtarajiwa akiserebuka.

...Akiwa na Moza.

...Akiwa na mwanamuziki Mangwea.

Bi Harusi Mtarajiwa

Jack na Belinda .


Sinta na Aunt.


Picha zote kwa Hisani ya Imelda Mtema na Hamida Hassan Kutoka GPL


2 comments:

  1. jamani mlipendeza hongereni bi jack nakutakia ndoa njema yenye baraka

    ReplyDelete
  2. wewe dada nimekupenda she very cute

    ReplyDelete