.

.

.

.

Tuesday, January 19, 2010

MAMBO YA MDUARA

Mwandishi wa habari mwandamizi wa gazeti la The African linalochapishwa na kampuni ya New Habari 2006 Ltd Siddy Mgumia akiongoza pamoja na Mwani wakiongoza wenzao katika kucheza Miondoko ya Mduara, kwenye Sherehe ya kuaga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya 2010 hivi majuzi.
Kwa Hisani ya FULLSHANGWE

No comments:

Post a Comment