.

.

.

.

Wednesday, August 29, 2012

HEKALU LA MCHUNGAJI GETRUDE RWAKATARE


 Muonekano wa mbele
 MC na mchungaji Haris Kapiga wa Clouds FM
 
 Mc Harris Kapiga akiwa kazini.
 Kabati la vyombo.
 Akiwa katika ofisi yake ya nyumbani, kuna sehemu ya kufanyia mikutano,Salon,Studio,na sehemu ya mazoezi.
 Ukifika wakati wa misosi kwa wageni.
Midundo na burudani zilitawala,
 Chumbani sehemu ya kujipamba.

Kitanda chake cha kulala
---
Mwandishi: Rulea Sanga

Nimeamini kuwa ukifanya kazi ya Mungu kwa uaminifu naye atakulipa hapa hapa dunia, na utakuwa ushuhuda kwa watu wengine. Mama Getrude Rwakatare siku ya Jumapili alikuwa anahamia rasmi katika nyumba yake mpya iliyoko Mbezi Beach jijini Dar es Salaam pembezoni mwa bahari ya Hindi. Waumini wa kanisa hilo wapatao takribani 300 walifika mahali hapo kwa kushuhudia nyumba ya kifahali.

Mch. Mh. Getrude Pangalile Rwakatare kabla ya kuhamia kwenye hekalu lake jipya alikuwa akiishi Mikocheni B katika nyumba ya kifahali pia. Alizidi kukaa katika uwepo wa Mungu na kufanya kazi yake kwa bidii na kujituma. Katika mahubiri yake kwa waumini wake amekuwa akiwatabiria watu mafanikio na watu wamefanikiwa kutokana na utabiri wake. Leo hii imekuwa zamu kwake ambapo Mungu hakutaka kumuabisha kma mtumishi wake, akamshangaza kwa muujiza wa kumuwezesha kujenga jumba la kifahari kwa gharama kubwa sana

3 comments:

 1. Mungu atukuzwe sana, mana ukiibariki israel nawe utabarikiwa ukiilaani nawe uta laaniwa.
  na vivyo kwa mtumishi wa Mungu mama Rwakatare ni vyema sana Mungu akuongezee na akubariki sana

  mana kila jambo na wakati wake wakati wakupanda na wakati wakuvuna huu ni wakati wa Bwana kumpa mavuno mtumishi wake mana usione vyaelea vime undwa mapito aliyo pitia kufunga nakuomba kwa jiri ya watanzania na wenye shida mbalimbali kukesha ili kuwaombea mambo mbalimbali,mapito ya kunenewa vibaya na meeeee...ngi ambayo huwezi kusema amevumilia hivyo ana staili Mungu Kumuinua sana na tena bado atakuwa na ndege kubwa ya abiria.
  mimi pia napenda kuinuliwa kama mama Rwakatare kwa hiyo nitakuwa na mwombea sana aendelee kufanikiwa kwani ndio kanuni ya kubarikiwa kama uta mbeba mapakwa mafuta wa Bwana.
  Naitwa Mary Aju James.0655414480 my number.

  ReplyDelete
 2. Mtumishi wa Mungu my ass. Wanatumia jina la Mungu kutaperi watu.

  ReplyDelete
  Replies
  1. I agree,I don't know this woman but I sure she is milking this poor people to acculate her wealthy, why does she need all this anyway? why do we have to see even where she sleeps? it rediculous. I'm no body but what she has is just normal stuff.

   Delete