.

.

.

.

Friday, March 19, 2010

MAMBO YA KIGOSI


Movie mbili kabambe toka kwa muongozaji filamu bora Tanzania VINCENT RAY KIGOSI ziko njiani kwa habari chungulia www.raythegreatest.blogspot.com

6 comments:

 1. Ray uyo Uwoya hayo mavazi ni wewe ndio unataka avae hivyo au yeye anapenda kutoka uchi uchi? Hivi ila shumizi aliyovaa kwenye MY DREAM wakati akipewa magazeti na muuza magazeti maziwa yote yanaonekana kivazi chepesi ata kipofu asie na macho anaona. kweli haki uyo kweli kaolewa? Mdau

  ReplyDelete
 2. we nani unauliza hivyo?jibu ni kwamba kaolea tena nimemruhusu mim mme wake .

  ReplyDelete
 3. Heay Brother ray nakupa big hap na kazi zako hunaonaje watu wanaokuhuliza maswali ya ki/?'|\* huwapoteze coz wanajuwa hiyo ni sanaa na ndo mana hawaendelehi my be ni kijana mdogo lakini hakili yake ya kizee fanya kazi kaka achana na waswaziii.

  ReplyDelete
 4. Mm nampa big up sana irene na namkubali kinoma kuanzia kwenye uigizaji mpaka mavazi yake anatoka chicha balaa,irene ulifanya mavi2z ya ukweli kwenye 'OPRAH'uko juu ma ccy.

  ReplyDelete
 5. Kaka uko juu sn, bt kwa uchumi wa watz,unaonaje ukatoa collection japo ya muv tano tano za zamani kidogo? hop itapunguza ata wiz wa kaz zako!

  ReplyDelete
 6. huyo anaesema hauko juu aangalie sana au atunge zake

  ReplyDelete