.

.

.

.

Tuesday, June 30, 2009

BSS HAWA HAPA

Washiriki wa Bongo Star Search walioingia kwenye 20 bora wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mkutano na waandishi wa habari wakati walipotambulishwa rasmi jana, washiriki hao wanatoka katika mkoa 8 kati ya mikoa 10 iliyoshirikishwa katika mchujo na kati ya hao mkoa wa Dar es alaam umetoa washiriki 8 wakati mikoa mingine 7 imetoa washiriki 12.
Waliofanikiwa kuingia 20 bora na mikoa yao ni Imani Lisu, Frola Ezekiel (Arusha) Beatrece Willliam, Pascal Cassian (Mwanza) Juma Malik, Mwampwani Yahya, Sarafina Mshindo (Dodoma) Peter Msechu (Kigoma) Leah Julius (Tabora) Issa Ahmed, Anitha Jackson, (Mbeya) Jackson George (Tanga) Alice Peter, Catherine Ntepa, Kelvin Mbati, Lulu Abdull, Maybou Mtekateka, Mary Lucas, Yacinta Richard, na Said Omary wanatoka Dar es alaam.
Washiriki watapata mafunzo zaidi ya kimuziki na kupigwa msasa ipasavyo na pia wataanza kutoa ala katika muziki wao ili waanze kupigiwa kura katika uimbaji wao Bongo Star Search inadhaminiwa na Vodacom Tanzania, Family Health International, Pepsi, Kilimanjaro Drinking Water na Presiciion Air
HISANI YA FULL SHANGWE BLOG

No comments:

Post a Comment