.

.

.

.

Saturday, September 26, 2009

ONYESHO LA VIPAJI (MISS TZ 2009)

Mrembo huyu aliigiza kama mwana minenguo maarufu wa taarabu kitu kilichopelekea mashabiki na wageni waalikwa wengi waliokuwepo kupiga mayowe

Wadau wengine wa urembo wakiwa na nyuso za furaha katika shindano hilo haikufahamika furaha yao hasa ilikuwa ni nini, lakini yaelekea burudani ya onyesho hilo ndiyo iliyokuwa ikiwapa raha sana kama unavyoona wakiwa na nyuso za furaha kuanzia kulia ni Mkurugenzi wa magazeti ya Jambo Leo Juma Pinto, Naibu Mkurugenzi wa Jambo Leo na mwaandaaji wa Miss Temeke Benny Kisaka,Jackson Kalikumtima Mwandaaji wa Miss Ilala, Boy George Mwandaaji wa Miss Kinondoni na Afisa Habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu.



Warembo na wageni waalikwa mbalimbali wakiwa wamekaa tayari kwa onyesho la vipaji lililofanyika jana kwenye Hoteli ya Giraffe Ocean View iliyoko Kunduchi jijini Dar es salaam.
HISANI YA FULLSHANGWE BLOG

No comments:

Post a Comment