.

.

.

.

Monday, October 12, 2009

MASTAA WA KIZAZI KIPYA ...

Mwanamuziki wa kizazi kipya anayekuja juu nchini Tanzania Shaa akisalimiana na wapenzi wa muziki alipokuwa kwenye tuzo za MTV Music Award Nairobi Kenya mwishoni mwa wiki.Shaa alikua mmoja wa wanamuziki aliechaguliwa kushindania tuzo hiyo ambapo mwanamuziki Dibanj kutoka Nigeria aliibuka mshindi.

Mwanamuziki AY akisalimiana na mashabiki wa muziki mjini Nairobi alipokuwa kwenye tuzo za Zain MTV Music Award zilizofanyika mwishoni mwa wiki, AY alikua mmoja wa washindani katika upande wa Hiphop ambapo Amani kutoka nchini Kenya aliibuka mshindi wa tuzo hiyo.

No comments:

Post a Comment