.

.

.

.

Monday, October 12, 2009

MAWAZIRI WAKUU PAMOJA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mawaziri Wakuu wastaafu. Edward Lowassa (kulia) Na Dk Salim Ahmed Salim katika hafla ya kuchangia mfuko wa maendeleo ya Elimu kwa watoto wa kike (Mwalimu Nyerere Memorial Scholarship Fund) kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es salaam leo (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment