.

.

.

.

Friday, October 02, 2009

MIRIAM GERALD AVIKWA TAJI LA MISS TZ 2009

Hapa ni Miriam Gerald alipotwaa Taji la Miss Lake zone .Mtoto kasimama kweli Mkoa wa MWANZA unazidi kuwa kinara kutoa Mamiss wa kutuwakilisha Miss World mwaka jana alikuwa Nasreem Karim.
Miriam Gerald (pili shoto) ndiye Malkia mpya wa vimwana wa Tanzania Habari na picha zaidi Baadaye.

No comments:

Post a Comment