.

.

.

.

Friday, August 27, 2010

BALOZI WA TANZANIA HAPA UINGEREZA AANZA KAZI RASMI


Balozi mpya wa Tanzania nchini Uingereza, Mheshimiwa Peter Kallaghe akisaini kwenye kitabu cha ubalozini hapo tayari kwa kuanza kazi rasmii.

Balozi mpya wa Tanzania nchini Uingereza, Mheshimiwa Peter Kallaghe akiwa katika picha ya pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Benno Ndulu ambaye yupo nchini Uingereza kwa shughuli za kikazi.

Balozi mpya wa Tanzania nchini Uingereza, Mheshimiwa Peter Kallaghe akisalimiana na baadhi wa wafanyakazi wa ubalozini hapo pindi alipokuwa amewasili.

Balozi mpya wa Tanzania nchini Uingereza, Mheshimiwa Peter Kallaghe akipokelewa na wafanyakazi wa ubalozini hapo.

No comments:

Post a Comment