ZAMARADI HUYOO ............
Zamaradi Mketema wa pili kushot0 akiwa amepozi na baadhi ya Wasanii nyota wa Filamu hapa bongo, kutoka kulia ni Maya, Anti Ezekiel, Rose Ndauka na kushoto kabisa ni Jackline Wolper, Kwenye hafla ya kuzindua kipindi chake cha TAKE ONE kutoka CLOUDS TV. Hafla hiyo ilifanyika ndani ya jengo la Clouds Media Group, Mikocheni jijini Dar.Kipindi hicho kitahusu tasnia ya Filamu na mambo mengine kwa ujumla .
No comments:
Post a Comment