.

.

.

.

Thursday, October 01, 2009

RAIS JK NCHINI MAREKANI


Rais Jakaya Kikwete amekutana na Spika wa bunge la Marekani Nancy Pelosi jana na kuwa na mazungumzo naye juu ya ushirikiano wa Marekani na Tanzania katika nafasi mbalimbali.Pichani ni Pelosi akimkaribisha Rais Kikwete .

No comments:

Post a Comment