FLORA MARTIN MISS VODACOM HIGHER LEARNING 2010
Miss Vodacom Higher Learning Frola Martin akipunga mkono mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano hilo lililofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam, kulia ni mshindi wa pili Pendo Sam na kushoto ni Rachel Filbert mshindi wa tatu
she is hot,that flora
ReplyDelete