Shindano la Supa Pesa limezidi kuwanufaisha Watanzania baada ya leo kumwaga mahela kwa Bw. Raymond Sinda ambaye alishinda na kujinyakulia kitita cha shilingi milioni kumi. Mshindi huyo alikabidhiwa mfano wa hudi yenye thamani ya pesa hizo na Meneja Mkuu wa Supa Pesa, Natasha Issa, katika ofisi za Odssey zilizopo Masaki Mwisho, jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment