.

.

.

.

Saturday, December 18, 2010

ABUU SEMHANDO AFARIKI DUNIA

Mpiga drum maarufu katika bendi ya African Stars a.k.a Twanga Pepeta Abou Semhando 'Baba Diana' amefariki usiku wa kuamkia leo maeneo ya Tangi Bovu,Mbezi jijini Dar kwa ajali ya gari.Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo anaeleza kuwa Marehemu Abou Semhando alikuwa akiendesha piki piki ghafla akakumbana na gari na kufariki.kwa taarifa nyingize zilizopatika hivi punde msiba huo upo nyumbani kwake Mwananyamala,jijini Dar.Tutazidi kufahamishana zaidi jinsi habari zitakavyokuwa zinaingia.

1 comment: