.

.

.

.

Friday, February 04, 2011

MSIBA READING - UK

Familia ya Malewo wa Reading -United Kingdom inasikitika kutangaza kifo cha Mama yao mpenzi Edina Malewo kilichotokea jana usiku huko Moshi - Tanzania. Marehemu ni mama yao na Anita, Elda na Sheillamina. Mipango ya mazishi yanayotarajiwa kufanyika Moshi Tanzania mara baada ya kuwasili watoto wote wa marehemu inafanywa. Habari za msiba huu ziwafikie ndugu jamaa na marafiki popote pale walipo.
Kesho kutakuwa na maombi kuanzia saa 12 za jioni

Tunahitaji msaada wenu.
wa hali na mali ili waweze kuwahi mazishi. Tunaomba kuwafariji wafiwa kama ilivyo desturi yetu, tafadhali mtaarifu na mwenzio.

Wale wote ambao mpo Reading Berkshire Msiba upo

21 Don close,
tilehurst,
Reading,
RG30 4YL.
Nyumbani kwa pastor Noel


(kwa maelezo zaidi piga simu +44 7714024620 kupata direction)

No comments:

Post a Comment