.

.

.

.

Saturday, April 30, 2011

SHEREHE ZA MUUNGANO UK NI LONDON USIKU HUU

Sherehe za muungano hapa Uingereza zinatalajiwa kufanyika usiku huu kwenye Ukumbi wa kisasa "LA ROYALE" uliopo kaskazini ya jiji la London kitongoji cha TOTTENHAM karibu na uwanja wa mpira wa Tottenham Hotspur.
Mgeni wa heshima katika sherehe hizo atakuwa Balozi wa Tanzania hapa Uingereza Mh.Kallaghe.
Kutakuwa na Mziki wa live band utakaoporomoshwa na THE JAMBO AFRICAN BAND pamoja na Disco la DJ CHAMBI na ANDREW.
Kwenye maakuli na vitafunio Vijana wa FORO BARBEQUE (barking market) watatoa huduma hiyo.

NYOTE MNAKARIBISHWA
PAMOJA INAWEZEKANA

No comments:

Post a Comment