.

.

.

.

Wednesday, May 04, 2011

RIDHIWANI KIKWETE AMPA DR SLAA SIKU SABA AU ...... !!!

Mtoto wa Rais, Ridhiwani Kikwete akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam, kukanusha tuhuma za kumiliki mali zinazodaiwa kuzushwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Willibrod Slaa na Mwenyekiti wa Demokratic (DP) Mchungaji Christopher Mtikila.

No comments:

Post a Comment