.

.

.

.

Saturday, July 16, 2011

TUSHANGILIENI HARUSI YA MAIGA NA JACKIE

Bwana harusi, Maiga Dany Mapigano na Bibi Harusi Jackline Edmond Mjengwa. Leo jioni ilikuwa ni jioni ya kihistoria kwao. Ni katika kanisa la KKKT, Azania Front jijini Dar es Salaam, wamefunga pingu za maisha. Kanisani hapo palilindima shangwe, vigeregere na vifijo. Ni furaha ya Ndoa kati ya Maiga na Jackline.

Maiga na Jackline wakiwa wamepozi kwa utulivu kabisa wakati ibada takatifu ya Ndoa yao ikiwa inaendelea.

Maiga na Jackline (katikakati) wakiwa na wapambe wao. Ni jioni ya leo, Katika kanisa la KKKT, Azania Front, jijini Dar es Salaam.

1 comment:

  1. jamani mbona hakuna furaha hata kidogo kati yao...au mie tu..

    ReplyDelete