.

.

.

.

Saturday, September 24, 2011

MAZISHI YA MINA SAID TAMBWE

Mina Said Tambwe 1/12/1976 to 9/21/2011

Jeneza la Marehemu Mina Said Omari likipelekwa ndani ya msikiti wa Islamic Society uliopo Frederick, Maryland.
Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Mina Said Omari, aliyefariki siku ya Jumatano Sept 21, 2011 saa 4 usiku (10pm) Frederick Memorial Hospital likiwa ndani ya msikiti wa Islamic Society uliopo Frederick, Maryland kwa ajili ya kusaliwa.
Ndugu jamaa na marafiki wakiwa ndani ya msikiti wa Islamic Society uliopo Frederick Maryland
Waumini wa kiIslamu wakijitayarisha kwaajili ya sala ya jeneza
Waumini wakitoka msikitini baada ya sala ya ijumaa pamoja na sala ya maiti tayari kuelekea makaburi ya Al firdaus Memorial Gardens yaliyopo bara bara ya New Design, Frederick, MarylandKWA HISANI YA SWAHILIVILLA

1 comment: