.

.

.

.

Tuesday, October 04, 2011

HONGERA DK. DALALY KAFUMU

Mbunge mteule wa Igunga, Dk. Dalaly Kafumu akipongezwa na mke wake, Maria Magdalena Kafumu baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa Uchaguzi Mdogo uliofanyika Oktoba 2. Wengine pichani ni Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama (nyuma ya Kafumu) na kulia kwa Mukama ni Katibu wa NEC wa Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma. (Na Mpigapicha Maalumu).

No comments:

Post a Comment