|
Chris Powell wa Charlton |
|
Chris Hughton wa Birmingham city. |
Pamoja na nchi ya England kuwa na vilabu 92 vya mpira wa miguu katika madaraja yote kuanziaPremier Leaguempaka conference, na pia kuna wacheza mpira wasio weupe (ethnic minority) 4500 katika nchi hiyo ambao ni sawa na asilimia 25 ya wacheza mpira wote nchini humo. Pia kuna mameneja 92 wa vilabu nchini humo lakini wote ni weupe (Whites) kasoro wawili tu ambao ni Chris Powell wa Charlton na Chris Hughton waBirmingham City ambao ni weusi (Blacks)
No comments:
Post a Comment