Rais Jakaya Kikwete akijiandaa kumzawadia fedha, mtoto Liano Adamu (7) ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Ruaha Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro baada ya kuvutiwa na uchezaji wake wa ngoma ya Lizombe ya kabila la Wangoni. Rais yupo mkoani humo kwa ziara ya kikazi ya siku tatu. Nyuma ya Rais ni Mkuu wa Mkoa, Joel Bendera. (Picha na John Nditi). |
No comments:
Post a Comment