.

.

.

.

Thursday, October 13, 2011

TAARIFA YA MSIBA


Rejea taarifa ya msiba wa Mzee Said Muhammad Sikamkono mazishi yatafanyika kesho tarehe 13/10/2011 katika makaburi ya Hainault Garden of Peace saa nane mchana. Ila kabla ya makaburini tunaombwa wote tufike msikiti wa Sakina Walthamstaw (basi namba 179) saa sita na nusu mchana. Msiba uko nyumbani kwa marehemu Woolwich Dorkyard ambako wote tunakaribisha muda wowote kujumuika na familia ya marehemu wakati huu wa majonzi .Wakina mama pia wanaweza kufika msikitini au nyumbani kwa marehemu kwa ajili ya kutoa pole.Address ya sehemu ya msiba ni;Woolwich Ferry

405,Frances Street, London.

SE18 5JU.Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na;07813539025 - Haruna mbeyu.Katibu Jumuiya ya Watanzania -london07766454596 - Abdallah Mdidi

No comments:

Post a Comment