.

.

.

.

Saturday, December 31, 2011

STATUS ZILIZONIKUNA LEO FACEBOOK

Petroli bei juu! Umeme hali kadhalika! gesi balaa ,Kodi za nyumba balaa, Mchele na nyama usiseme! Makanisani sadaka juu! Mahari nazo hatari, Dola bei juu haishikiki, School fees utadhani unanunua shule, Nauli ya mabasi ndo balaaaa! Je hii ndo HAPPY NEW YEAR uliyo ni wish au HEAVY NEW YEAR!?


....Usiseme FaceBook Hakuna Mapenzi Ya Kweli Kwa Sababu Tu Aliyeumiza Moyo Wako Ulimpata Humu...Wengi Wao Ni Waongo Kimapenzi Na Hatukatai, Lakini Wakweli Pia Wapo...Kuna Watu Wamejuana HumuHumu Na Wameoana Na Wanaishi Kwa Raha Mustarehe...Ukweli Wa Mapenzi Ni Vile Unavyouchukulia Na Si Sehemu...Unaweza Kupata Mpenzi Kanisani Na Msidumu...


Kipindi hiki wanaume wanapokea na sms km hizi:'Dear kodi ya pango inaisha january na mwenye nyumba ameongeza kodi..i lov u much'.
:'Baby Nw yr itakuaje nataka nikafanye shoppin ya nguo na kusuka'Naomba 1,000,000.
:'Sweetie naomba uniongezee 600,000 nimalzie ada ya mdogo angu..miss u badly'
:'kipenzi nimeishiwa naomba pesa ya mafuta km laki2 ukiweza plz..kisses n hugs'!!teh teh mwanaume kaaazi kweli kwelinamshukuru mungu kwa pumzi aliyonipa kunifikisha hapa nilipowako wengi waliotamani kuona mwaka mpya lakini mimi ni nani hata leo ni mzima?ashukuriwe mungu happy new year all fansFacebook mchezo!! Baba mzazi kafungua akaunti kwa jina feki, mkewe nae jina feki mtoto wao wa kike nae jina feki, baba kamtongoza mama(mkewe wa ndoa ) na binti kajilengesha kwa baba yake mzazi!! Hakuna anemjua mwenzake.....ingekua we unajua hili jambo ungewambia hata mmoja wao au ungechuna tu? me nakosa mwanzo wala katikati but mwisho uko veeeeeeeeeeeeeery clear!!

1 comment:

  1. Nawatakia heri ya mwaka mpya wote wale ambao wanatabia ya kuforward meseji bila kuzisoma mfano huyu katumiwa meseji na demu wake ikisema good morning honey wakati ni saa sita za usiku ya tarehe 1.1.12, jamaa kwa uvivu wa kusoma meseji akaniforwardia hivyo hivyo sasa mi sijui nimjibu vp?

    ReplyDelete